Wasikilizaji wa kipindi cha ‘Genge’ cha 93.7
E-FM ya Dar es Salaam wamepokea kwa masikitiko taarifa kutoka kwa
mtangazaji wa kipindi hicho waliyekuwa wamemzoea, Penniel Mungilwa a.k.a
VJ Penny kuwa hatasikika tena kwenye kipindi hicho.Kupitia Instagram
Penny ameandika:“Gengerzzz hata sijui nianzie wapi, ila wacha niwaambie
nawaona nyie wote kama familia yangu…toka day 1 mmekua na bonge la
support! Message zenu ndio zilikua zinatuunganisha kama tunajuana…sina
cha kuwalipa! I love u all beyond words!.. Sasa time yangu ya kufanya
Genge imekwisha, ila sio ndio muondoke kimoja..
No comments:
Post a Comment