Kurasa

Friday, 31 October 2014

MENINA AFUNGUKA KUHUSU TETESI ZA KUWA NA MIMBA YA DIAMOND PLATINUMZ


Meninah ambaye ni zao kutoka Bongo Star Search miezi michache iliyopita ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz hukumwenyewe akikana mara kadhaa kila anapopata nafasi ya kulizungumza hili.

No comments:

Post a Comment